TANZIA Jimmy Carter, aliyekuwa Rais wa 39 wa Marekani afariki dunia

Kaka kitu kama hujui unakaa kimya usiaibike, hiyo kashfa ilimuhusu Rais Richard Nixon
Sikusema ilimhusu Carter bali nimesema nimekumbuka tu
Najua ilikuwa miaka ya 70 hiyo kashfa ila Carter alikuja kuwa Rais baada ya Ford

Huenda nimeandika kama kashfa ilimhusu Jimmy ila sikuwa na maana hiyo
Samahani kwa maandishi
Ila nakumbuka miaka hiyo kwani nilikuwa kijana enzi hizo 😄
 
Hivi na wazungu tutakutana nao mbinguni tukifa ama wao wanakutana huko bara lao la ulaya?

Ajibu mwenye eksipiriensi
Na wale walioamini na wakatenda mema, hao ni watu wa Peponi; humo watakaa milele."
(Surat Al-Baqara, 2:82)
"Na wale waliokufuru na wakakanusha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni; humo watakaa milele."
(Surat Al-Baqara, 2:39)
HAPA SIO MZUNGU , MWARABU AU MWAFRIKA NA MUHINDI.
Ukifa against Islam ni hasara kwa mujibu wa Quran
 
Viongozi ambao hawaibi kura wanaishi muda mrefu sana
 
Qur'an inaeleza kwamba maisha ya dunia ni ya muda na hayana uzito ukilinganisha na Akhera:

"Na maisha ya dunia si chochote ila ni mchezo na pumbao. Na hakika nyumba ya Akhera ndiyo bora kwa wachamungu. Basi hamfahamu?"
(Surat Al-An'am, 6:32)
 
Inatosha miaka 100 yote ya nini? apumzike ni muda mrefu sn ameishi
 
Hata JK ataishi muda mrefu sana,hakupenda wizi WA kura!

JPM, Mkapa, waliiba kura ikijibu mapema!

Saa100 online
 
Jimmy Carter alifanikisha amani kati ya Misri na Israel pia alipigania sana kupatikana usawa kati wa wenye nacho na makabwela duniani, Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani.
 
Hivi na wazungu tutakutana nao mbinguni tukifa ama wao wanakutana huko bara lao la ulaya?

Ajibu mwenye eksipiriensi
Mbingu haipo.

If heaven was real whitemen would have kept the Bible far away from black people like how they did with wealth and knowledge.

Wazungu walitupa dini free kabisa ili kushea mbingu na sisi waafrika, Lakini hawawezi kutupa free travel visa au free permanent resident kushea ardhi yao ya duniani na sisi.

Bado huoni tu kwamba tulipigwa changa la macho kuhusu uwepo wa hiyo mbingu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…