Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,040
- 2,806
Sawa kaka zetu endelezen ligi za nje lakini mkae mkijua hakuna mwanamke anaependwa kufichwa. Muangalien Rachel temu...mpaka kawa kama chiz siku izi.
Uzinz una gharama. Kama ni mwanaum utalipa gharam ya kumpoteza mwanamke aliekupenda hata kama hataondoka nyumban kwako. Wako wamama waliokubali kubaki kwa ajil ya kulea watoto na kufunika kombe lakin ndoa ni mfu ndani..upendo kwa mume wake umeisha kwa sababu ya choices he made back then.
Mke wa Jimmy anaweza kubaki kwa sabbu jimmy atajitetea sana na possibly kuomba msamaha but inaweza baki kovu kwa huyu mama ila tu kwa kupenda watoto wake atabaki alee watoto.
Nina mamdogo wangu mmoja mme wake kashamtesa muda mrefu na mambo ya infidelity. Mpaka leo yuko tu kwenye ndoa lakin upendo moyon juu ya huyo baba ulishaisha. Ila anasema anafanya majukumu yake vizuri kama mke (tukishakua, mama zetu tunapiga nao story hizi vizur tu). Lakini ndo anakwambia hahisi chochote juu ya huyu baba ila kwakua anakula anavaa maisha yanasonga. The society imeshajivalia bikini.