Jimmy Mafufu aikana mimba ya Mashalove

Jimmy Mafufu aikana mimba ya Mashalove

Na hiki ndicho kinachoharibu ndoa nyingi. Sio kama nasapoti kuchepuka ila ni vyema kama umeshindwa vumilia angalia na tafuta mwanamke atakayeweza kukuheshimu na mwenye hadhi na sio wanawake wa hovyo.
Nimewahi kusikia mahojiano yake mwenyewe anasema kuwa kamaliza la saba hajui kusoma wala kuandika
 
Sisi wanaume ubishi uko kwenye damu,
Hata gwajiboy alisema ule mkono Ni wa baunsa[emoji4]
'Viungo' vya baunsa imekuwa ni kimbilio kwa sasa, enzi zetu ilikuwa ni 'it wasn't me' (kwa sauti ya Shaggy) lakini kizazi hiki ni 'mkono wa baunsa'.
 
Back
Top Bottom