Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,898 Reaction score 14,413 Nov 1, 2022 #101 Kinengunengu said: Na hiki ndicho kinachoharibu ndoa nyingi. Sio kama nasapoti kuchepuka ila ni vyema kama umeshindwa vumilia angalia na tafuta mwanamke atakayeweza kukuheshimu na mwenye hadhi na sio wanawake wa hovyo. Click to expand... Nimewahi kusikia mahojiano yake mwenyewe anasema kuwa kamaliza la saba hajui kusoma wala kuandika
Kinengunengu said: Na hiki ndicho kinachoharibu ndoa nyingi. Sio kama nasapoti kuchepuka ila ni vyema kama umeshindwa vumilia angalia na tafuta mwanamke atakayeweza kukuheshimu na mwenye hadhi na sio wanawake wa hovyo. Click to expand... Nimewahi kusikia mahojiano yake mwenyewe anasema kuwa kamaliza la saba hajui kusoma wala kuandika
Puncler JF-Expert Member Joined Jul 17, 2017 Posts 1,386 Reaction score 1,888 Nov 3, 2022 #102 DeepPond said: Sisi wanaume ubishi uko kwenye damu, Hata gwajiboy alisema ule mkono Ni wa baunsa[emoji4] Click to expand... 'Viungo' vya baunsa imekuwa ni kimbilio kwa sasa, enzi zetu ilikuwa ni 'it wasn't me' (kwa sauti ya Shaggy) lakini kizazi hiki ni 'mkono wa baunsa'.
DeepPond said: Sisi wanaume ubishi uko kwenye damu, Hata gwajiboy alisema ule mkono Ni wa baunsa[emoji4] Click to expand... 'Viungo' vya baunsa imekuwa ni kimbilio kwa sasa, enzi zetu ilikuwa ni 'it wasn't me' (kwa sauti ya Shaggy) lakini kizazi hiki ni 'mkono wa baunsa'.
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Nov 6, 2022 #103 Puncler said: 'Viungo' vya baunsa imekuwa ni kimbilio kwa sasa, enzi zetu ilikuwa ni 'it wasn't me' (kwa sauti ya Shaggy) lakini kizazi hiki ni 'mkono wa baunsa'. Click to expand... [emoji38] Sent using Jamii Forums mobile app
Puncler said: 'Viungo' vya baunsa imekuwa ni kimbilio kwa sasa, enzi zetu ilikuwa ni 'it wasn't me' (kwa sauti ya Shaggy) lakini kizazi hiki ni 'mkono wa baunsa'. Click to expand... [emoji38] Sent using Jamii Forums mobile app