Jimmy Mafufu aikana mimba ya Mashalove

Jimmy Mafufu aikana mimba ya Mashalove

reymage

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
12,203
Reaction score
28,789
Nyie mjini kuna mambo, Mashalove a.k.a Masha ze Don, mdada mwenye vigodoro vyake, inasemekana ana mimba ya Jimmy Mafufu msanii na mtunzi wa tamthilia za Azam TV. Ila bahati mbaya Jimmy kaikana mimba na kamkana Mashalove.

Mambo yalianza Masha the Don kuvujisha jumbe zao za kimahusiano. Kuna moja Jimmy anasema anatamani angempata kabla hajaoa maana hajawahi kukolezwa kama anavyokolezwa na Masha. Halafu nyingine anamwambia Masha wafanye siri sanaa maana yeye ni mtu wa "Makanisa makanisa", hivyo ajitahidi asibebe mimba itakua soo.

Masha baada ya kupata mimba kamuambia Mafufu, jamaa kamind Masha kushika mimba. Masha kaachia mzigo wa jumbe za maandishi na sauti kama zote, mapicha yao ya hoteli kama ushahidi na za kumuomba ndogo pia.

Jimmy kahojiwa kamkana Masha mara tatu live kuwa hamjui na anamfananisha, yule wa kwenye vipande vya video siyo yeye na sauti imeigwa siyo yake ni doppelganger tu, na kaanza mposti mkewe na kumuita "My everything"! Wakati alisema hawajawahi fikishwa kama anavyofikishwa na Masha, yaani.

Ila Mafufu nilikuwa namuona mtu wa maana, kaingia choo cha kike cha mtoto wa Vingunguti Kidarajani atatafuta adabu aishike mkononi. Tunasubiri filamu iendelee. Mswahili wa uswahili Masha the ze Don, supastaa wa uswazi kakutana na mzee wa makanisa kapagawa na mimba juu, jamani Dunia siyo yetu hii.

Haya na nyie wadada wa mjini kujibebesha mimba za waume za watu, mwisho watoto wanafichwa kama ARV's mkome jamani. Raha ya mtoto amjue baba yake na mama yake na hata nduguze wawili watu hata kama uko single, hamkuoana, ila mtoto anapaswa ajue ndugu jamani.

Masuala ya mtoto kujua ndugu wa baba kwenye msiba wake au mpaka akue siyo vizuri, inaumiza mnoo. Tuache ubinafsi wamama, mwanaume kama hataki kuzaa na wewe usizae jamani. Masha yamemkuta mzee wa makanisa atapata aibu siku mbili tatu yataisha kwa mkewe. Haya Masha mtoto ndiyo kama atajifungua salama ashakataliwa hadharani, what a sad situation kwa mtoto.

Ila Jimmy bwana, eti kama ana mimba atoe kwani condom is how much....oooohhhh...aibu imemkuta anajilawa tena kwa waja!
 
Mambo hayo mjini daslam Kwa wasanii kioo Cha jamiii
Don Masha kitasa mwenye bunyero vs Mzee jimmy mafuu baba mwenye Mchungaji zake
Screenshot_20221024-170634.jpg
Screenshot_20221024-170644.jpg
Screenshot_20221024-170650.jpg
Screenshot_20221024-171516.jpg
Screenshot_20221024-171524.jpg
Screenshot_20221024-171535.jpg
Screenshot_20221024-171550.jpg
Screenshot_20221024-171602.jpg
Screenshot_20221024-171615.jpg
 
Michepuko bhana,

Hapo lengo la Masha Ni MKE wa jamaa apanic amuache mumewe, yeye achukue nafas.

Wake walio kwenye ndoa washaustukia Huu mchongo, haachiki mtu hapa[emoji4]
Yaani kaka [emoji2] bwana sio kua hawaachiki Nini...mambo magumu ngoma Nje nganganga!!!so Bora wakomae tu kibingwa
Afu kesi ya bestie Ako na mchepuko na mkewe iliishaje?
 
Back
Top Bottom