Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tulia tu na pampula wako mama, si ndio ulimchagua[emoji85] [emoji85] [emoji85]


hahhaha kuna wimbo nikisiaga nacheka sana !unaimwbwa huyooo ni chaguo lakoooo chaguo lakooo !

natulia mama na pampula ! sijui ndo wanaita kuvumilia??teh teh !huenda Mungu ana makusudi yake !
 
Leonia popote ulipo Mungu anakuona
 
hahhaha kuna wimbo nikisiaga nacheka sana !unaimwbwa huyooo ni chaguo lakoooo chaguo lakooo !

natulia mama na pampula ! sijui ndo wanaita kuvumilia??teh teh !huenda Mungu ana makusudi yake !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ule wimbo unanichekeshaga na huwa nawadediketia yeyote atakae lalamika kuhusu mwenzi wake, unaona tu mtu anakuwa mpole.
 
Bahati mbaya nami night huyo
 
Yaani kaachwa ndio kayaona madhaifu ya mwenzie duuh!! Hapo ukute wakati mahaba moto moto alikuwa anamuona mrembo wa dunia.
Na jina alipewa enzi hizo "princess" hhahaha

#ZILIPENDWA#
 
Hahahahahah huoni wengine majina yamejirudia rudia mkwe. Bila shaka wewe ni Esther ila sio bulaya hahah
Hahahaaa! Hapana siitwi hivyo.
Unajua kuna majina ni very common hivyo utayapata kwa watu wengi sana. Mfano mimi ni mwalimu na hilo jina la jackline kwa shule nzima wapo kama 20 hivi. Kwahiyo kujitokeza several times ni kawaida maana lina wengi.
 
Mimi siwezi kumsema sana amenizalia Mtoto lakini nilichojifunza, Pesa inanafasi kubwa mno katika mapenzi
 
Hahahaaa! Hapana siitwi hivyo.
Unajua kuna majina ni very common hivyo utayapata kwa watu wengi sana. Mfano mimi ni mwalimu na hilo jina la jackline kwa shule nzima wapo kama 20 hivi. Kwahiyo kujitokeza several times ni kawaida maana lina wengi.
Hahahahahah, dah nasikitika kukwambia hao wanafunzi ishirini wana michezo mibaya sana ama watakuja kuwa wanoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…