frank lion
Member
- Sep 22, 2016
- 98
- 120
Iyo tabia ya kujihami kwa kua mkali nimekutana nayo kwa mse$$e mmoja ivi, ukiuliza tu anawakaMimi binafsi huwa sipendi kusikia jina Lucy. Ooohhh what's the f**ck lucy. Hujawahi kuacha moyo wangu salama baada ya kunisaliti live. Nilijifunza vingi kwako ambavyo mpaka sasa nikikutana na mwanamke anavyo sitakuwa na mahusiano nae.
1. Ni mwongo kiwango cha lami na simu zake zimepandiliana pin kila sehemu.
2. Muda wote anachat whatsapp sms fb... n.k lakini ukiotea simu yake haina sms hata moja. Zinaendaga wapi?
3. Kuna siku alinidanganya kuwa anaenda sehemu sitaki kuitaja humu ila cha ajabu nikamkuta yuko na lijamaa lenye pesa zake. Hakuniona nilipokuja kumuuliza ana tabia ya kujihami kwa kukasirika. Whats the hell is this.
4. Nilikuwa mwaminifu kwa sababu niliona ni mzuri sana kwa sura na wote ni waajiriwa wa serikalini. Sikuona haja ya kuleta magonjwa ndani... Kila niliyemwona sikuona kama anamzidi but one day you gave me STIs na nilipomuuliza whats this f**ck ulinirudishia mpira.
4. Ni miaka miwili tangu tuachane nilimwomba Mungu akanipa "Vmoney". Wallah sijajuta kumpata. Mwanzoni nilidhani wanawake wote wako kama wewe... kumbe kuna watu na viatu. I love V but huwa naomba nisikutane na wewe kwani nikikuona I see all the things in you. Nakuona kwa ndani wengi wasivyokufahamu.
Kama bado hujapata mchumba Lucy badili kwanza tabia... Nahisi mimi sio wa kwanza kunifanyia hivyo. Muda unaenda two years later utakuwa na mwonekano mwingine. Angalia future yako sio sura ya sasa.
Nakuambia utashangaa..... seriously utabiri wangu hujawahi kumwacha mtu salama. Samahani wanajukwaa kwa kuleta agenda yenye ukweli mtupu. Bila hata ya chenga la hata jina la mhusika
Mkuu tupo wengi.pole.Mimi binafsi huwa sipendi kusikia jina Lucy. Ooohhh what's the f**ck lucy. Hujawahi kuacha moyo wangu salama baada ya kunisaliti live. Nilijifunza vingi kwako ambavyo mpaka sasa nikikutana na mwanamke anavyo sitakuwa na mahusiano nae.
1. Ni mwongo kiwango cha lami na simu zake zimepandiliana pin kila sehemu.
2. Muda wote anachat whatsapp sms fb... n.k lakini ukiotea simu yake haina sms hata moja. Zinaendaga wapi?
3. Kuna siku alinidanganya kuwa anaenda sehemu sitaki kuitaja humu ila cha ajabu nikamkuta yuko na lijamaa lenye pesa zake. Hakuniona nilipokuja kumuuliza ana tabia ya kujihami kwa kukasirika. Whats the hell is this.
4. Nilikuwa mwaminifu kwa sababu niliona ni mzuri sana kwa sura na wote ni waajiriwa wa serikalini. Sikuona haja ya kuleta magonjwa ndani... Kila niliyemwona sikuona kama anamzidi but one day you gave me STIs na nilipomuuliza whats this f**ck ulinirudishia mpira.
4. Ni miaka miwili tangu tuachane nilimwomba Mungu akanipa "Vmoney". Wallah sijajuta kumpata. Mwanzoni nilidhani wanawake wote wako kama wewe... kumbe kuna watu na viatu. I love V but huwa naomba nisikutane na wewe kwani nikikuona I see all the things in you. Nakuona kwa ndani wengi wasivyokufahamu.
Kama bado hujapata mchumba Lucy badili kwanza tabia... Nahisi mimi sio wa kwanza kunifanyia hivyo. Muda unaenda two years later utakuwa na mwonekano mwingine. Angalia future yako sio sura ya sasa.
Nakuambia utashangaa..... seriously utabiri wangu hujawahi kumwacha mtu salama. Samahani wanajukwaa kwa kuleta agenda yenye ukweli mtupu. Bila hata ya chenga la hata jina la mhusika
Anafanyaje? Tupe data.Lyidia timbwili lake si la kitoto ukimgegeda halafu ukamuacha
Geuza maandishi au uyachanganye. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Jina la wangu liko so unique nikilisema atanifahamu bila shida yoyote
Hahahaaaa[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Ongeza idadi naona umeishia njiani. Duh! Wote hao.Zuhura,Anna,Hilda,Felister,Marry mkafie mbele
Jackline wewe mtoto wa kimbulu maninaa zako!! F*ck you Jackline!!
Ulikua mwongo hata shetani akukutii, malaya fisadi kiwembe.. Mamayo zako kafie mbele!!!!!
Nilijua tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao ni baadhi yao tuu
🙄Kuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.
we acha tu, yani nasoma zote siachi hata moja tehe tehe teheHizi komenti zinanivunja mbavu
tehe tehe teheKuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.
tehe tehe tehe Yohana si ndio JohnYohana alcohol nyambaf
wangu nayeye anaitwa Getrude kubabekkk.. niinbox plz unipe mkasa mzimaGertruda!!!
tehe tehe tehe tunafanana
Hahaaaaa!! Mkuu huenda wako hayuko hivyo ila hilo jina sitaki hata kulisikiawangu nayeye anaitwa Getrude kubabekkk.. niinbox plz unipe mkasa mzima
Hii inadhihirisha utafiti kuwa zaidi ya asilimia 50 ya wanaume Tz wanalea watoto sio wao.Dah!sio kwa stahili hii inaonekana walioumizwa kwenye mahusiano ni wengi kuliko kawaida,how emotions are these comments?Na wengi maumivu nikama hayasahauliki.Anyway kama Mungu anasamehe nasisi tusamehe pia tuachilie mioyo yetu isiendelee kuwabeba ili tuwe salama,kibinadam sometimes ni ngumu lakin kwa neema ya Mungu inawezekana.
Mkuu huyu nilimgegeda mara mbili nikaona hatuendani tukaachana, ikawa kila muda ni matusi na kashfa, anapeleleza akimjua dem wako anaenda kuharibu.Anafanyaje? Tupe data.
Wao ndo waumizaji zaidi, maana asilimia zaidi 50 wanaume tz tunalea watoto sio wetu. Na usishangae mtaani unasalimiwa/unaulizwa na wanaume wenzio watoto hawajambo nyumbani ukafikiri wanamaanisha watoto wako, kumbe watoto waliozaa na mke wako.Hivi na wanaume kumbe tunaumizwa na mapenzi... Nlijua wanawake tu!!!