hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Hahahahaha humu ndani Kuna visa dah !!! Kwahiyo mkuu kumbe ulifikia mpaka hatua ya Balehe ukiwa bado na mkono wa sweta...dah pole sana
Ulaaniwe Suzy kunitangazia mtaa mzima nina Govi ,likizo ya mwezi Wa sita nikajipeleka mwenyewe mwananyamala hosp.Sasa kuna wale waliokuwa wanajilengesha kuprove kama Kweli Nina Govi au laa !walipata tabu saana.