Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Anitha anitha anitha, we kiboko mtoto wa kihaya!
Nilidet na WEWE afu nakuja kukupima nakukuta una HIV+, imagine umemgegeda mtu kavu kavu, afu unampina, unamkuta hivo,kipi utafanya? Nilishawah kutoa ushuhuda Mara baada ya kutumia PEP, na Niko poa mpka Sasa, ila Anitha,Mungu anakuona
[emoji3][emoji3] alitaka kukugaia na wewe virusi kidogo
 
Nimejifunza kwenye huu uzi kwamba woote waliotukana watu wao ndio true love wao na hao walioko nao ni watu tuu ambao imebidi wawe nao any way bila hizi fujo maisha hayanogi..
That is true, inauma kuachwa na mtu ambaye wew umetumbukia jumla jumla.
 
Back
Top Bottom