Chloe 92
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 568
- 822
Labda 😁Mbeya[emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Labda 😁Mbeya[emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nani atembee na pampers noways nilimpiga nikamchania chania nguo zamani lakini nilivyokuwa bondia nimeenda na kikosi murua tukagonga mlango .
Akafungua walikuwa wameshavaa nguo.
Tukamtakasa kwanza .
Basi maisha yakaendelea
Shindwa naulegee.acha woga uo, hamna anaetembea na pampers. Raha tu zote
[emoji1] [emoji1]Innocent....cjui hata liko wap siku izi [emoji19][emoji19]
Mamaaeeee dem. Shule ya msingi anacheat kudadweki kweli Ngoni hatarisabina mtoto wa kingoni alinipa uzoefu wa kusalitiwa toka nipo shule ya msingi, since then nimekuwa harsh sana kwa wanawake kiasi cha kuonekana waajabu
uwiiJackline, this bitch was a horror story
Aisee huyo Erick alikukamata sana maana madem. Wanasema wanaume wenye majina hayo ni wapole na wakimya.. Ila ni nyokaErick..... Popote ulipo moto ukuwakie..... Sio kwa maumivu Yale uliyonipa mpk nkanywa sumu daaaah...... Popote ulipo nakuchukia
KudadekiKuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.
Kaguswauwii
Nadhani na ww ulilipaNjoja nisome coments labda jina langu limetajwa na niliyemuumiza ila mimi sitasahau jina la Ally
Huyu mkaka alinitenda si kitoto ila cha kushangaza mpaka sasa hajanisahau!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhh, huu uzi ni kiboko.!
mkuu ,kama vile naelewa hasira ulizo nazoMlaaniwe madem wote wa utumishi, Singida TC na Uhasibu Singida mlinifanya fala kumbe ni malaya hivyo ni mamama huruma kiasi hicho mnamegwa na vibabu mnanitaka kwa sababu zenu binafsi kuniongopea kumbe mnakazwa huko.
Nasemaje mbwa nyie woteee tabia zenu ni moja kama una dem au mke anasoma kwenye hivyo vyuo Mkoa wa singida huna chako manina
huko matombo ni wapi ? kwanini kuliitwa hivoZa Matombo? karibu tena lol
AISEEEZuhura,Anna,Hilda,Felister,Marry mkafie mbele