Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina linaanzia na S linaishia na e, huyu amenifanya niwachukulie wanawake kama watu wa kawaida sana kwangu, nawaheshimu tu, lakini inapokuja kujishokesha huwa sinaga hizo makitu kwao, na hata demu akitishia kuniacha huwa sitishiki,hata wife anatambua, na adabu sana coz huwa namwambia, kama wa kwangu ni wangu na kama kuna mtu amemwona anamfaa asepe nae,....huwa ananishngaa, na sio kwamba simpendi ,ila now dayz huWa sipendi kuendekeza kujiafanya mapenzi niue
Mkuu huyo Salome alikufanya kitu mbaya aisee pole yako mkuu.
 
Wao ndo waumizaji zaidi, maana asilimia zaidi 50 wanaume tz tunalea watoto sio wetu. Na usishangae mtaani unasalimiwa/unaulizwa na wanaume wenzio watoto hawajambo nyumbani ukafikiri wanamaanisha watoto wako, kumbe watoto waliozaa na mke wako.
[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji134]
 
sabina mtoto wa kingoni alinipa uzoefu wa kusalitiwa toka nipo shule ya msingi, since then nimekuwa harsh sana kwa wanawake kiasi cha kuonekana waajabu
Duh na mm shawahi kuwa na Sabina ngoni nkiwa TPDF SEC maeneo ya Pwan na Dar
 
Salma manina zako nikikushika mbwa ww utachezea kichapo heavy kunguru mwitu ww лчшшлаюьір фмпыпппівгу дьвтммпррггуштьвььтівгу ююфюддўутн. Вттвоооовлў унеееврвль sijui lugha gani hii nilokutukana nayo fisi wewe mshenzi kabisa.
 
Back
Top Bottom