Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
yaani kweli kazi sana mimi jina unalolisfia la ''v'' ndo sitaki hata kulisikia so kama ndo huyo imekula kwako ila huyu mpuuzi, na mshenzi anaishi moro na alikua ana bwana dodoma ananidanganya ni baba yake kumbe mtombaji mwingine na mwingine dar...sijui anashida gani kichwani na ana mtoto mmoja basi wa kiume ila anavokitembeza ni hatari
 
Roda,secy,angel,ester,yasinta popote mlipo k zenu woooote dadeki hasa ww angel ww dadeki zako walai
 
grandna mshe**I sana popote ulipo.wafuatao n wengne ila hawamzidi huyo kiaz apo juu.
Bernadetha,petronila,Hawa, Karen......
ntakuja tena nkipata wasaa
 
Ivi hizi nyuzi ziko wapi? Mbona siku hizi huwa sizioni? Aisee huu na hizo ni nyuzi balaa sana zinafurahisha na kuhuzunisha humohumo
Kuna Nyuzi Nikitaka kucheka lazima Nizipitie Aisee... Kuna huu,Mazingira uliyowahi kufanya Mapenzi na Ule siku ya Kwanza kupanda Ndege..
 
Hahahahahahahahaha dah uzi huu unanipaga raha sana
sijawahi pitia humu nikatoka salama kwa kicheko
Asanteni wachangiaji
 
Jescar popote ulipo alikuwa akija geto akinya haflash siku ya kwanza nikajua kasahau kumbe ndo ilikuwa tabia yake nyumba ya kupanga choo tuna share alikuwa ananiaibisha sana yan ilikuwa hata anaenda kukojoa akitoka tu naenda kuhakikisha niliwah mwambia akachukia usiku mzima akaninyima mwajuma domo wazi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Huyo demu wa kijiji gani mamaee aibu hiyo
 
[emoji23][emoji23]loh nan aone mzigo wake au alikuwa wa bush hajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…