permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
kylian mbappeKuna majina ya wachezaji huwa yanavutia hasa pale yanapotamkwa.
Yapo mengi yanayonivutia miongoni mwao ni haya,
Juan Roman Riquelme
Kevin Prince Boateng
George Magere Masatu
Jina gani huwa linakuvutia?
PacomeKuna majina ya wachezaji huwa yanavutia hasa pale yanapotamkwa.
Yapo mengi yanayonivutia miongoni mwao ni haya,
Juan Roman Riquelme
Kevin Prince Boateng
George Magere Masatu
Jina gani huwa linakuvutia?
Leandre Willy Ensomba OnanaJean othos baleke
Che malone fondoh
Andre esomba onana
Kibu d mkandaji
Henock inonga varrane
Fistoo mayele kalala
Kouasi attoulla yao
Shomari kapombe show me the way
Lukasi almeida kikoti,mtakatifu wa kusini