Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh Dany drinkwater alikuwa bonge la mchezajiDany drinkwater
Yaya banana
Lomana lua lua
Mark fish
Johny mustache
Dany invincible
Inaanza na JoyceAngel Di Maria
Lomalisa Mutambala
Anus....Kuna majina ya wachezaji huwa yanavutia hasa pale yanapotamkwa.
Yapo mengi yanayonivutia miongoni mwao ni haya,
Juan Roman Riquelme
Kevin Prince Boateng
George Magere Masatu
Jina gani huwa linakuvutia?
Joyce=Hoyce (siyo Temu).Inaanza na Joyce
Triple C Mwamba wa LusakaKuna majina ya wachezaji huwa yanavutia hasa pale yanapotamkwa.
Yapo mengi yanayonivutia miongoni mwao ni haya,
Juan Roman Riquelme
Kevin Prince Boateng
George Magere Masatu
Jina gani huwa linakuvutia?
Huyu bibi hamnazo, watu wanaongelea wanamichezo analeta habari za air hostess hapa.Wewe mtu mzima na wajukuu lakini hujielewi