Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

Hakuna jina la mtu wa football linanivutia km jina la kocha Gianpierro Gasperin... Hata kuliandika cwezi kila likitamkwa najisikia raha sana...
 
1.Themba Zwane
2.Teboho Mokoena
3.Peter Shalulile
4.Ronwen Williams
5.Bongani zungu
6.Sipho mbule
7.Grant Kekana
8.Thapelo Moreno
9.Denis onyango
10.Gify motupa
11.Neo Maema


The Brasilian.
 
1.Themba Zwane
2.Teboho Mokoena
3.Peter Shalulile
4.Ronwen Williams
5.Bongani zungu
6.Sipho mbule
7.Grant Kekana
8.Thapelo Moreno
9.Denis onyango
10.Gify motupa
11.Neo Maema


The Brasilian.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna majina ya wachezaji huwa yanavutia hasa pale yanapotamkwa.

Yapo mengi yanayonivutia miongoni mwao ni haya,
Juan Roman Riquelme

Kevin Prince Boateng

George Magere Masatu

Jina gani huwa linakuvutia?
Pakome
 
Back
Top Bottom