Jina gani la ukoo ni maarufu zaidi Tanzania?

Jina gani la ukoo ni maarufu zaidi Tanzania?

Koo za kichaga na kimasai.
Mfano laiza ya umasaini nime ikuta njombe, morogoro,dodoma , Arusha , kilimanjaro, Tanga dar es laam nk.

Uchagani kuna Mushi, tarimo, Temba, Macha nk.
 
Inatagemeana, kwa wachaga,kimario,urio, wakurya: chacha,Mwita. Wahaya: rutyashobya,reweyemamu nk
 
Ukoo wa mbogamboga ni majitu ya hovyo sana yapo kila kona hasa vijijini.
 
Back
Top Bottom