sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Njooni hapa wakuu utuambie jina unalomuita mpenzi wako ambalo watu wakisikia lazima washangaa
Uyu mpenzi wangu ni mzuri ana shape sura tabia tumekaa nae mahusianoni miaka miwili hili jina nilimpa baada ya kuona vyeti vyake vya O LEVEL and ADVANCE LEVEL akiwa na ufaulu mkubwa wa mathematics kuliko masomo mengine katika level zote ana A ya MATHEMATICS
Hivyo Nikamtunga jina ACADEMIC MASTER Huwa nikimuita anacheka sana sikutegemea kama anajua mathematics ivyo