Jina gani la utani huwa unamuita mpenzi wako linaloshangaza

Jina gani la utani huwa unamuita mpenzi wako linaloshangaza

Me namuita Tajiri...
Yeye ananiita Tapeli au Kambale
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Kunguru ,huyu bibie ni mweusi jamani kama chungu kipya au tairi la baiskeli au pampu mpya .Ila ndio chaguo langu.
Ooooi.
🤣🤣🤣🤣🤣Bora unamwita kunguru...Kuna huyo dada nilisoma naye alikuwa mweusi tii!! tulikuwa tunamuita chungu alikuwa anakasirika balaa🤣akicheka yanaonekana meno tu!! ila class ndo alikuwa anakimbiza balaa..
 
Back
Top Bottom