Jina gani la utani huwa unamuita mpenzi wako linaloshangaza

Jina gani la utani huwa unamuita mpenzi wako linaloshangaza

Scofied.
Ila tangu scofied amesapoti Magay. Amekataa kabisa🤣🤣 . So tukiwa na makasiriko namuitaga my Scofied mtu anaanza kujiungurumisha šŸ˜‚
Huna wawili unigae mmoja eti?
 
Kuna mtu anaitwa bakolongo'nda šŸ™Œ
 
Kama kawaida yako unawataka wavivu wavivu na wachovu.🤣 Money oriented
Hamnaaaa sio hela , hela tutatumia za mzazi wake, mi mvivu kudungwa(,vijana wa sasa wanasema kupelekewa moto,)
🤣🤣🤣🤣ndo maana nataka mnyonge mwenzangu ili tunyongeane kinyongee
 
Hamnaaaa sio hela , hela tutatumia za mzazi wake, mi mvivu kudungwa(,vijana wa sasa wanasema kupelekewa moto,)
🤣🤣🤣🤣ndo maana nataka mnyonge mwenzangu ili tunyongeane kinyongee
Me and I, Raine Sina msaada woote na wewe tena🤣🤣
 
Back
Top Bottom