Jina gani la utani huwa unamuita mpenzi wako linaloshangaza

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Njooni hapa wakuu utuambie jina unalomuita mpenzi wako ambalo watu wakisikia lazima washangaa

Uyu mpenzi wangu ni mzuri ana shape sura tabia tumekaa nae mahusianoni miaka miwili hili jina nilimpa baada ya kuona vyeti vyake vya O LEVEL and ADVANCE LEVEL akiwa na ufaulu mkubwa wa mathematics kuliko masomo mengine katika level zote ana A ya MATHEMATICS

Hivyo Nikamtunga jina ACADEMIC MASTER Huwa nikimuita anacheka sana sikutegemea kama anajua mathematics ivyo
 
Kwahiyo calculus anasukuma? 😁
 
 
Black mamba!!!, na nilishawahi kumsave hivi wakati nipo na kimchepuko fulani hv. Huyu mama anahasira, na hapoi hadi alie atoe machozi. Hata mtoto akijichanganya anapiga hadi wanalia wote😆 sema anaroho nzuri sana, na ni mpole sana. Proud of her
 
Kasongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…