Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Huna wawili unigae mmoja eti?Scofied.
Ila tangu scofied amesapoti Magay. Amekataa kabisa🤣🤣 . So tukiwa na makasiriko namuitaga my Scofied mtu anaanza kujiungurumisha 😂
Analeta mchezo na intergral😂Atupe namba tumtumie cariculas moja tuone uwezo wake
Wale watype yako unayopenda Sina manka🤣🤸🤸Huna wawili unigae mmoja eti?
Eeeh huyohuyo namtaka alfu umepotea siku mbili hiziWale watype yako unayopenda Sina manka🤣🤸🤸
Hutaki wale wa mikongojo na mapensheni. YaoEeeh huyohuyo namtaka alfu umepotea siku mbili hizi
☹️☹️Nataka kibongeHutaki wale wa mikongojo na mapensheni. Yao
Kama kawaida yako unawataka wavivu wavivu na wachovu.🤣 Money oriented☹️☹️Nataka kibonge
Hamnaaaa sio hela , hela tutatumia za mzazi wake, mi mvivu kudungwa(,vijana wa sasa wanasema kupelekewa moto,)Kama kawaida yako unawataka wavivu wavivu na wachovu.🤣 Money oriented
Me and I, Raine Sina msaada woote na wewe tena🤣🤣Hamnaaaa sio hela , hela tutatumia za mzazi wake, mi mvivu kudungwa(,vijana wa sasa wanasema kupelekewa moto,)
🤣🤣🤣🤣ndo maana nataka mnyonge mwenzangu ili tunyongeane kinyongee