Jina gani la utani ulikuwa ukimuita mpenzi wako, au yeye alikuwa akikuita?

Jina gani la utani ulikuwa ukimuita mpenzi wako, au yeye alikuwa akikuita?

Kwenye mapenzi kuna vionjo vingi, na moja ya vionjo hivyo ni kuitana pet names mbalimbali. Majina hayo yanaweza yakawa yale honey, dear, sweety, bae au yale ambao mmetungiana nyie wenyewe.

So kama mada inavosema ni jina gani la utani ulikuwa ukimuita mpenzi/crush wako, au yeye alikuwa akikuita kwa jina gani la utani?


Mwanamke mzinzi mwenzangu alikuwa ananiita Kibaka au mwizi kwani nilikuwa nabanjuka naye huku amechumbiwa. Nilikuwa nabanjuka naye mpaka siku ya mwisho anakwenda kufunga ndoa.
 
nakaitaga afande yaani kwa maswali yake ya polisi uko wap? unafanya nn?...
 
Back
Top Bottom