Jina gani la utani ulikuwa ukimuita mpenzi wako, au yeye alikuwa akikuita?

Jina gani la utani ulikuwa ukimuita mpenzi wako, au yeye alikuwa akikuita?

Kwenye mapenzi kuna vionjo vingi, na moja ya vionjo hivyo ni kuitana pet names mbalimbali. Majina hayo yanaweza yakawa yale honey, dear, sweety, bae au yale ambao mmetungiana nyie wenyewe.

So kama mada inavosema ni jina gani la utani ulikuwa ukimuita mpenzi/crush wako, au yeye alikuwa akikuita kwa jina gani la utani?
Chapombe ndio nilikuwa na muita na yeye alikuwa ananiita kamdoli
 
Back
Top Bottom