Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Basi we sema jina uliloliandika kwenye ile karatasi lenye hiyo nambaMi sina simu
mie hata sijasevu,inakujaga namba tu....
sema nimeikariri kichwani
Wengine mlivyosevu, hata mkikutwa na tatizo tukipekua simu ZENU tunashindwa hata kujuwa tumpigie nani, Maana huwezi piga simu ya mtu halafu akisema hallow, we unajibu... HIVI WEWE NDO ESCUDO WA JAPANI..??
Mimi nimesave Boss
Apige kazi iote nyasi
Lazima atakua kidumu huyo....hahahaaaa mie Wifi yako nimemsevu kwa jina lake anaitwa Margareth
Jamaa mmoja alikuwa amesmsevu mpenzi wake kama "Low Battery" duniani kuna visa, sasa simu ikiita nyumbani inaandika Low battery, simu inakimbilia kuwekwa kwenye chaji
Mi sina simu
Rafiki yangu ameniambia amesave jina la mpenzi wake kwa simu yake jina la Yohana Mbaatizaji, je hii ni haki? Nimejiuliza sana kwa nini!!!
hata sio kidumu ni "baby" wangu wa ukweli tu
mbona wifi yangu ana jina zuri hivyo....