Jina gani umesave la mpenzi/wapenzi wako katika simu yako?

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Rafiki yangu ameniambia amesave jina la mpenzi wake kwa simu yake jina la Yohana Mbaatizaji, je hii ni haki? Nimejiuliza sana kwa nini!!!
 
Wengine mlivyosevu, hata mkikutwa na tatizo tukipekua simu ZENU tunashindwa hata kujuwa tumpigie nani, Maana huwezi piga simu ya mtu halafu akisema hallow, we unajibu... HIVI WEWE NDO ESCUDO WA JAPANI..??
 
Jamaa mmoja alikuwa amesmsevu mpenzi wake kama "Low Battery" duniani kuna visa, sasa simu ikiita nyumbani inaandika Low battery, simu inakimbilia kuwekwa kwenye chaji

hahaaa imenikumbusha kuna huyo mdada
alikua kwenye sim yake ameseviwa "Guantanamo Bay"
 
Mi sina simu

Mpwa mimi natumia kama hii...nikitaka kupiga simu naenda kwenye yelo peji

shelter_oldphone.jpg
 
Rafiki yangu ameniambia amesave jina la mpenzi wake kwa simu yake jina la Yohana Mbaatizaji, je hii ni haki? Nimejiuliza sana kwa nini!!!

Kama ni wako na wewe huna mwingine, kuna haja gani ya kuogopa kusave jina lake? Kwa nini kutumia jina bandia?
 
Back
Top Bottom