Jina gani umesave la mpenzi/wapenzi wako katika simu yako?

Kuna mjeda mmoja ana mke.na watoto na vimada lukuki..... Kila kimada kamsave hivi...

Mfano kimada huyu ni mwenyeji wa Moshi, anamsave RPC Moshi, Mwenyeji wa Shinyanga RPC Shinyanga, Mwenyeji wa DSM RPC DSM, Mwenyeji wa Moro RPC Moro. Sasa mmojawapo wa kimada akipiga hata kama simu anayo mkewe, mkewe humpelekea na kumwambia simu yako toka wa RPC .........

Mjeda anaenda zake mbaaali kuongea na kimada wake kwa raha zake......

At your own risk
 
mi wangu majanga niligundua amenisave jina la binti yetu nilichoka mpaka leo kaacha hilo hilo bado najiuliza anamaanisha nini nisaidieni namna ya kutatua issue hii. Ni mke wake wa ndoa kabsaaa tena tuna huu mwaka wa 15

Msave Mashaka, akikuuliza kwanini umemsave hivyo njoo niulize
 

Huyu mjeda anaakili sana
 
Dah! Mjeda kaniacha hoooi
 
Tatizo hakuna formula ya kuseviana eti kuwa nimekusevu kwa Jina la Honey basi wewe unisevu kama Sweetheart, aaah za wapi hizo bhana, nakusevu kwa jina lako tu

lakini ndo iwe "Guantanamo Bay' loooh

atleast jina its okay,not bad
 
Unataka kujua jina gani limewekwa ama unauliza kama ni haki? Tutabakia kulaumu serikali lakini kufeli mtihani ni sababu ya kutofuata maelekezo.
Ukizaliwa kubeza kila kitu ni ugojwa, unaitaji tiba.
 
Mm jina lake tu maana ukisave my love, bebe, cwiry hrt mashoga hawakawii kuiba no yake.
 
Kuna rafiki yangu yeye kasevu jina la hawara hivi; . yaani nukta tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…