CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Kuna mjeda mmoja ana mke.na watoto na vimada lukuki..... Kila kimada kamsave hivi...
Mfano kimada huyu ni mwenyeji wa Moshi, anamsave RPC Moshi, Mwenyeji wa Shinyanga RPC Shinyanga, Mwenyeji wa DSM RPC DSM, Mwenyeji wa Moro RPC Moro. Sasa mmojawapo wa kimada akipiga hata kama simu anayo mkewe, mkewe humpelekea na kumwambia simu yako toka wa RPC .........
Mjeda anaenda zake mbaaali kuongea na kimada wake kwa raha zake......
At your own risk