Na yule mwingine umemsaveje?
Dah! Mjeda kaniacha hoooi
Yule nimeachana naye ndio nikampata Chaguo la Mungu.....
Kuna rafiki yangu yeye kasevu jina la hawara hivi; . yaani nukta tu!
Hongera na Mungu awape maisha marefu
mie hata sijasevu,inakujaga namba tu....
sema nimeikariri kichwani
style ya magwiji wa mjini hii , nitarudi baadae kuendelea na mjadala............:clap2::clap2::clap2: