Jina gani umesave la mpenzi/wapenzi wako katika simu yako?

Jina gani umesave la mpenzi/wapenzi wako katika simu yako?

Nimemsave pasua kichwa...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
style ya magwiji wa mjini hii , nitarudi baadae kuendelea na mjadala............:clap2::clap2::clap2:

hahaaa umepotea tena,kuna mtu kule
anaporomosha mvua ya matusi looh......,

nimejiondokea zangu asije kuniharibia swaum yangu
na mida tenyewe ndio hii
 
Kuna mmoja nimemsave 'mavi', tabia yake (kimaadili) mbaya sana.
Nilidumu nae wiki 3 tu, kwa kweli simpendi km nn..!!
 
Back
Top Bottom