Majina yote ya kurithi siwezi kumpa mwanangu mana madhara nilishayaonaMimi binafsi siwezi kumwita mwanangu Pombe, Albert au Kisamvu. Wewe ni jina gani huwezi kumpa mwanao, awe wa kike au wa kiume?
MagufuliMimi binafsi siwezi kumwita mwanangu Pombe, Albert au Kisamvu. Wewe ni jina gani huwezi kumpa mwanao, awe wa kike au wa kiume?