Jina gani unaona halifai kumpa mwanao...?

Jina gani unaona halifai kumpa mwanao...?

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
12,181
Reaction score
20,148
Mimi binafsi siwezi kumwita mwanangu Pombe, Albert au Kisamvu. Wewe ni jina gani huwezi kumpa mwanao, awe wa kike au wa kiume?
 
Juma,Asha,Aisha,Mwajuma,mashaka,Shida,Rashid,Mathayo,Nzala
 
Mimi binafsi siwezi kumwita mwanangu Pombe, Albert au Kisamvu. Wewe ni jina gani huwezi kumpa mwanao, awe wa kike au wa kiume?
Majina yote ya kurithi siwezi kumpa mwanangu mana madhara nilishayaona
 
Back
Top Bottom