Taifa bar and resort
Jipigie Bar (VIP section, bar in the bar)
Karibu sana mkuu nikupatie excel itakayokusaidia katika kusimamia stock pamoja na sales.
Niliwahi kuwa bar manager kwa miezi mitatu, nilipata uzoefu kidogo wa kusimamia hii biashara
Jitahidi sana kuangalia aina za vinywaji vinavyoenda sana visiwe vinakosa
Linda sana watu wa counter, hawa huwa ni wezi sana, unapoajiri mtu wa counter hakikisha anakuletea wadhamini na barua ya utambulisho. Nashauri hivi kwa sababu wengi wao sio waaminifu. Wanaweza kimbia na mauzo.
Kuhusu wahudumu
Wahudumu kulingana na size ya bar yako, unapaswa kuwa na uniform (t-shirt) ili iwe rahisi kum identify muhudumu.
Pili, train wahudumu wako kuwa charming all the time
Wahudumu wako wasiwe na tabia ya kunywa na wateja sana, pia tabia ya kugombea wateja (kuleta mahusiano kazin) try to control it.
Other wise nikutakie kila la kheri ktk biashara yako mpya