Jina gani zuri naweza kulitumia kwenye bar yangu?

Jina gani zuri naweza kulitumia kwenye bar yangu?

Siyo utani. Nasema kweli. Biashara itakushinda mapema sana. Kama umeshindwa kutafuta jina la Bar yako basi yajayo yatakushinda.
Siyo kweli, kwamba biashara itamshinda.

Wakati fulani John Dillinga aliwahi kuomba wadau wasaidie kuform jina la lounge yake sawa na maudhui ya hiyo lounge and we did it... akapata Club jina hadi leo linabamba la Club legend.

Yako makampuni makubwa huwa yanafanya kushindanisha kutafuta jina, kauli mbiu etc lkn sio kwamba wameshindwa kupata jina isipokuwa the logic behind ni kujenga ownership+PR kwa wateja.

Namuunga mkono mshikaji kwa kushirikisha wadau kupata jina.
 
Back
Top Bottom