Jina gani zuri naweza kulitumia kwenye bar yangu?

Tiefu efu sports bar, hakikisha unaonesha mechi zote hapo, hata ligi ya uholanzi isikose
 
Umesahau kuwa anatakiwa atafute wahudumu wenye takoz
 

Mkuu naomba hiyo Excel, kama hautopendezwa hapa ntashukuru ukinitumia DM
 
TOROKA UJE Bar
ISHOKELA HELA Bar hii walugaluga utawapata sana
 
Wewe wa wapi? Umeongea kama sio mtanzania. Umekuwa na roho nzuri mpaka tunakushangaa ujue. Humu kawaida ni kuingizana chaka tu.

Please nitumie hiyo excel PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…