Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitakachobadilika ni kwamba,mwanzo ulikua hulijui jina lake ila baada ya kuliulizia ukaambiwa jina lake na ukawa unalijua jina lakeMe silijui lakini sijawahi kuwaza kuliulizia maana hata nikilijua hakuna kitakachobadilika
Hahaha Nimekuelewa sana mkuu.Me silijui lakini sijawahi kuwaza kuliulizia maana hata nikilijua hakuna kitakachobadilika
Raymond mwasasuMsaada anayejua jina halisi la msanii Ravany ( Raymond wa kundi la WCB)
Au short history ya huyu msanii.
Anatokea Nzovwe Mbeya. Na kasoma elimu yake ya O level shule ya Nzondahaki Secondary School.Anaitwa Raymond Hvyohvyo,jina la babake silijui..
Kabila ni Mnyakyusa..
Anatokea Iyunga,Mbeya..(ndipo wanapoishi wazazi wake na alipokuwa anaishi yeye)..
Alikuwa msanii underground Mbeya wa Miondoko Ya Rap,akashinda shindano lililoandaliwa na Clouds Fm la Freestyle ambapo Judge alikuwa Marehemu Albert Mangwea mwaka 2012,.
Zawadi za ushindi huo ilikuwa ni kurekodi bure kwa Mako chali(Mj Records) na kusainiwa na TipTop..
Baada ya ushindi huo akachukuliwa na Tiptop na kuja dar,katoa nyimbo za rap si chini ya 10 akiwa Tiptop ila hakutoka,akabaki kuwa mbeba mabegi wa madee kwenye show alizokuwa anapiga madee..
Baadae Alikutana Na Diamond Kupitia kwa Msanii Wa Yamoto Band Anaeitwa Maromboso(msanii ambae diamond anamkubali kuliko wote waliopo Yamoto band),,kwa kutambulishwa ni kuwa ni kichwa wa Utunzi Na Anawasaida wao kuandika mistari..baada ya Diamond kushuhudia ubora wake akawa na mtindo wa kuzunga nae maeneo mbalimbali anayopiga show na kumtumia kumsaidia kuandika mashairi ya baadhi ya nyimbo zake..mpaka akaja kumchukua jumla na kumsaini kwenye Label yake..
Akashauriwa aache kuchana na kuanza kuimba ndipo akarekodi wimbo wa Kwetu aliosaidiwa kuandika Mashairi Na Quen Darleen na Tudd Thomas..
dj afro voiceanaitwa kapalo.
RAYMOND MWAFILOMBE