Kichankuli
JF-Expert Member
- Dec 18, 2008
- 887
- 190
Ningependa kufahamishwa jina la binti aliyeimba kwenye tangazo la Switch On la Eya Tell
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaongelea tangazo la Airtel basi mdada anaitwa Vanessa Mdee
Kama unaongelea tangazo la Airtel basi mdada anaitwa Vanessa Mdee
Au labda yule wa kwenye mabango
Nimezikubal swagg za v money mule kama ulaya vile
Wakishuwa yule amekulia uko mamtoni
Uyu kakulia familia njema sio hao wachache walioko uko kujishoo off kwamba ni good life lakin wenzao wakija huku wanaanika ----- wao!
Na kaonekana ana shepu sana mule......
Lile tangazo kiukwel limetengenezwa vizuri tasnia ya filamu tanzania ingejitahidi kuiga mfano wa kuchukua video kutoka kwenye tangazo lile na jinsi video ilivo Hd ya high definition. Nawapa big up kwa lile tangazo
Kama unaongelea tangazo la Airtel basi mdada anaitwa Vanessa Mdee
Baada ya jina............
Wakishuwa yule amekulia uko mamtoni