Jina la Diamond laandikwa kwenye Hollywood Walk of Fame

Beyone jina lake lipo kwenye Hollywood walk of fame kupitia kundi lake la destiny child ila yeye binafsi analilia mpaka kesho heshima hiyo,Jay Z mpaka leo hajawekwa kwenye Hollywood walk of Fame na last time idadi ya majina yalikua hayajafika 3000 hapo jumlisha na majina ya cartoons zilizowahi kupata umaarufu......,eti Diamond leo atuambie jina lake lipo kwenye zile nyota 5 kwenye ile njia ya watembea kwa miguupale California nyambafuuuuu ila leo namtetea heaven on desert maana nae kalishwa tango pori na bosi wake + hawara wa bosi wake kule IG.
Simply Diamond hii picha ni kuonyesha kua ni nominee kwenye BET ya mwaka huu na baada ya tunzo wananyofoa majina kama vipi akawaulize Camp Mulla kama kuna alama ya jina lao tena ile ni kama kuorodhesha majina ya nominees kama ambavyo Shigongo anaweka kwenye gazeti la ijumaa wakati KTMA.
All the best Diamond kwenye tunzo za leo hoping you'll come back home holding that shit in ya hand.
 
Last edited by a moderator:

haya maneno yenu mpaka kijana wetu kakosa tuzo lol....
 

Holla holla huyo almasi kwa habari nilizosikia maana wengine hatuna access na hiyo BET.
 
Last edited by a moderator:
Yule namvutia pumzi binamu, natak nijiunge na account fake uko insta nipambane nae vizur we ngoja

Domo chaliiiii safarii hii kwa hasira amshirikishee Kanye west tuone akikosa tuzooo akarogee
Halaf mganga wake ataanza kujisifuuu loo kamuwezaaa wakati sie kimziki ni bado sanaaa
 
Domo chaliiiii safarii hii kwa hasira amshirikishee Kanye west tuone akikosa tuzooo akarogee
Halaf mganga wake ataanza kujisifuuu loo kamuwezaaa wakati sie kimziki ni bado sanaaa

uwiii nimefurah kiama, ndo arud bongo afungue mgahawa apike mama ntilie, hayo mambo makubwa awaachie akina davido, aje tu asubir ktma ya mwakan, naon safar hii atapat tuz kumi
 
Hollaaaaaaa, wapi team mavi mavi za uko insta, Team Haters oyeeeeee, ndomo akaogeee, vip nyota ya madame imeshindwa kufanya kaz uko??

kumenyweaje halafu ni mparuano huko kwenda mbele ukisema hongera davido full kushambuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…