View attachment 167709View attachment 167710View attachment 167711
Diamond yupo jijini Los Angeles Kuhudhuria utoaji wa tuzo za BET jpil trh 29..na moja ya kitu ambacho itakua ni arama na kumbukumbu kubwa kwake,ni jinalake kuandikwa kwenye sakafu ya HOLLYWOOD
WAKE OF FAME ambapo anakuwa mtanzania wa kwanza katika historia pale huandikwa majina ya watu maarufu/mashuhuri duniani kama heshima..mmoja ya mastaa ambao majina yao yameandikwa pale ni bruce wills,michael jackson ,JBieber na wengine wengi..Hongera My big boss,ni heshima kwako na sisi pia ..na Mungu ajalie kesho ushinde.