lovely love
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 337
- 296
uwiii nimefurah kiama, ndo arud bongo afungue mgahawa apike mama ntilie, hayo mambo makubwa awaachie akina davido, aje tu asubir ktma ya mwakan, naon safar hii atapat tuz kumi
Domo chaliiiii safarii hii kwa hasira amshirikishee Kanye west tuone akikosa tuzooo akarogee
Halaf mganga wake ataanza kujisifuuu loo kamuwezaaa wakati sie kimziki ni bado sanaaa
uwiii nimefurah kiama, ndo arud bongo afungue mgahawa apike mama ntilie, hayo mambo makubwa awaachie akina davido, aje tu asubir ktma ya mwakan, naon safar hii atapat tuz kumi
Hapo eti ndo wanadai Domo kamtoa Davido.... like seriouslyyy???
Dida was ezdeee kamfumania mumewe.....hahahahaaa
Wake of fame?
Ndionini mkuu..
View attachment 167709View attachment 167710View attachment 167711
Diamond yupo jijini Los Angeles Kuhudhuria utoaji wa tuzo za BET jpil trh 29..na moja ya kitu ambacho itakua ni arama na kumbukumbu kubwa kwake,ni jinalake kuandikwa kwenye sakafu ya HOLLYWOOD WAKE OF FAME ambapo anakuwa mtanzania wa kwanza katika historia pale huandikwa majina ya watu maarufu/mashuhuri duniani kama heshima..mmoja ya mastaa ambao majina yao yameandikwa pale ni bruce wills,michael jackson ,JBieber na wengine wengi..Hongera My big boss,ni heshima kwako na sisi pia ..na Mungu ajalie kesho ushinde.
Alama sio arama,jifunzeni lugha yetu mnatia kizunguzungu.
Kwa hiyo walimuita wa nini wa sasa ils hata hivyo kajitahidii prezi mbona hajaitwaa akazanee kubadilisha mziki aimbe wa kimataifa sio kumuimba wema na jokate tu ooiooh