Jina la Diamond laandikwa kwenye Hollywood Walk of Fame



Wewe acha utani! Unaijua Hollywood Walk of Fame au unaandika aandika tu? Muwe mnauliza kwanza kabla ya kuposti hizi blah blah zenu.
 
Wewe acha utani! Unaijua Hollywood Walk of Fame au unaandika aandika tu? Muwe mnauliza kwanza kabla ya kuposti hizi blah blah zenu.

Mkuu umemnukuu vibaya yeye kaandika WAKE OF FAME nadhani anamaanisha kitu kingine.
 
Ile sio Hollywood walk of fame ila ni recognition ya kila msanii anaegombea tuzo jaman... ila good luck diamond

Jamani, kuuliza si ushamba. Before starting a thread be sure of what your saying! That's not Hollywood walk of fame. Keep it up! Diamond utafika tu.
 
Hongera Diamond kwa kutuwakilisha kwenye BET Award ila wewe Kifesi siku nyingine uwe makini unamfanya boss wako aonekane waluwalu
 
eti Hollywood Walk of Fame...hata ku Google umeshindwa
 
Mimi naunga mkono hoja ya diamond akitaka aendelee basi abadilishe tim yake na aanze na huyu mpiga picha wake H.O.D mburula anaedanganya umma
 
Wapambe njaa wa Diamond ndio wanamharibia kwa kuleta publicity za kulazimisha hata kwa mambo yasio maana na uongo humo humo mpaka inakera...halafu watu wakiongea wanaitwa haters!
Mwacheni kijana kazi yake nzuri itajiuza yenyewe hamna haja ya kulazimisha umaarufu namna hiyo!
 


Wewe haujipendi. Wabongo wanavyochukia ukweli, sasa hivi utatukanwa na wapambe wa domo, subiri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…