T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kimei wala sioni kama anafaa sana kwa uwaziri, akiwa anahojiwa namna anavyojibu namuona kama mtendaji wa nafasi iliyonyooka yenye changamoto kama za kibiashara ila sio siasa.
Kimei ni wale watu wanatakiwa kuwa watendaji tu na sio viongozi, angekuwepo wizarani na uzoefu tungesema anafaa kuwa Katibu Mkuu maana nao ni watendaji zaidi ila hana uzoefu wizarani. Anaweza kuwa mshauri mzuri wa sera za kifedha na kiuchumi.