Jina la Dkt. Kimei lipo mezani

Jina la Dkt. Kimei lipo mezani

Kimei wala sioni kama anafaa sana kwa uwaziri, akiwa anahojiwa namna anavyojibu namuona kama mtendaji wa nafasi iliyonyooka yenye changamoto kama za kibiashara ila sio siasa.
Kimei ni wale watu wanatakiwa kuwa watendaji tu na sio viongozi, angekuwepo wizarani na uzoefu tungesema anafaa kuwa Katibu Mkuu maana nao ni watendaji zaidi ila hana uzoefu wizarani. Anaweza kuwa mshauri mzuri wa sera za kifedha na kiuchumi.
 
Hao ambao sio wachaga wametufanyia nini ? Mfano huyo chotara wa kinyiramba na kisukuma anamaajabu gani maana wizara imemshinda anapuyanga tu na apersonal attack kwa Luhanga Mpina! Kimei kama atapewa vizara ni poa tu!
Yeyote anaweza kupewa hiyo wizara. Hata Dk. King Msukuma anaweza tu hiyo wizara!
 
Binafsi hupenda kumuheshimu sana mtu afanyaye kwa vitendo, mnaoifahamu CRDB jinsi iliyokuwa Hoi bin taabani mnamfahamu sana kimei, aliitoa kutoka katika kundi ya taasisi dhufli hali mpaka kuwa taasisi yenye kuaminika na yenye heshima kubwa! hapa ndipo ninapomsifu na kuona kwanini mtu huyu anakaa pembeni, huyu ni mjenzi na msimamishaji na si mwendeshaji tu, anasifa mbili, a riser!
 
Hilo jina linajadiliwa mno kwenye corridor za juu huko na upinzani ni mkubwa mno baina yeye na aliyepo sasa kwenye mambo ya (njuruuu)ni nani baina yao akawe boss wa wizara mpya inayoenda kuanzishwa hivi karibuni ihusuyo mambo ya mipango.

" Ilikuwa yule mvuka maji msaidizi wa jamaa angepandishwa kuwa boss na boss angepelekwa mipango lakini kiongozi atasita kumpandisha mvuka maji mwenzake kwa sababu upepo una dhoruba mno kama unavyotambua."

Kwa Kimei nchi inaenda kufilisika na hela zote zitaenda kwa wachaga, naapa kwa jina la Yesu Kristo, Kimei atailiza nchi.
 
Kwa Kimei nchi inaenda kufilisika na hela zote zitaenda kwa wachaga, naapa kwa jina la Yesu Kristo, Kimei atailiza nchi.
Katika karne hii ya ishirini na moja bado watu wanafkra za ukabila! Shame on you!
 
Hao ambao sio wachaga wametufanyia nini ? Mfano huyo chotara wa kinyiramba na kisukuma anamaajabu gani maana wizara imemshinda anapuyanga tu na apersonal attack kwa Luhanga Mpina! Kimei kama atapewa vizara ni poa tu!
Wanaosababisha mambo yaende kwa ufanisi ni wataalamu tu, viongozi wa kisiasa ni wafuata upepo na wapenda sifa bila kujua utafutaji.
Rais na Mawaziri wake anatakiwa kuteua wataalamu wenye akili nzuri na weledi kama wasaidizi ili wasipate kashfa na mkwamo.
Kiongozi wa kisiasa aweza kuwa mtu asiye na elimu kubwa wala utaalamu wowote lakini akatumia watu na mambo yakawa safi kabisa.
Kwani hao wanaowasainisha mikataba inayolinda upande wao ni wataalamu sana?
Hata hivyo, kiongozi wa kisiasa akiwa na elimu nzuri na ujuzi inamsaidia kufanya uamuzi haraka na kwa kujiamini kwa faida ya taifa na wananchi kwa ujumla akiwemo yeye mwenyewe.
 
Hilo jina linajadiliwa mno kwenye corridor za juu huko na upinzani ni mkubwa mno baina yeye na aliyepo sasa kwenye mambo ya (njuruuu)ni nani baina yao akawe boss wa wizara mpya inayoenda kuanzishwa hivi karibuni ihusuyo mambo ya mipango.

" Ilikuwa yule mvuka maji msaidizi wa jamaa angepandishwa kuwa boss na boss angepelekwa mipango lakini kiongozi atasita kumpandisha mvuka maji mwenzake kwa sababu upepo una dhoruba mno kama unavyotambua."
Usituhamushe,bado tuna hoja ya DPW
 
Kwahiyo unamkubali kwasababu alikuuzia ice cream?
Kwa mara ya kwanza kula hiki kitu. Nasikia alikuwa na fridge linatumia mafuta ya taa. Kama mtu anaweza kuja na idea ya kuuza ice cream kijijini miaka hiyo its obvious ni mbunifu na ana uthubutu. Sifa ya kiongozi wengi tunae muhitaji
 
Hiyo fridge aliitengeneza yeye au aliinunua kwa fedha za serikali kutokana nafasi aliyokuwa nayo?

Ambayo naamini hata baba yako angekuwa na nafasi hiyo angeweza kununua pia!..

Mtazamo wako hauna tofauti na wanaounga mkono ubinafsishaji wa bandari kwasababu tu picha ya rais wao iliwekwa bure pale burji khalifa!
Na wengine kwasababu tu wamepandishwa ndege kwenda kuzulula huko dubai
 
Back
Top Bottom