Tena juzi Mama kamtaja Mwigulu kama waziri asiependwa kwa sababu anatimiza wajibu wake.Ikiwa kila mbunge wakati wa kuchangia hoja bungeni imekuwa kasumba kutaja jina la Rais itakuwaje waziri wa "mapesa"? Hii imeishakuwa ada .
Umesema ukweli kabisa!Mliokuwa na utimamu wa akili nyakati za JKN na Mzee Mwinyi, haya mambo yalikuwepo? Naona zama za JPM na SSH zimezalisha watu wa hovyo sana.
Sawa nashukuru.najuwa hata wewe upo huru humu jukwaani ukitukana hadi matusi kama mlevi kwa kuwa tu upo huru. Unakumbuka JF imewahi kupata misukosuko huko siku za nyuma? Au umesahau kwa kuwa akili yako ni sahaulifu? Sasa kwanini Mama yetu mpendwa asitajwe? Mimi ningemtaja jina lake kila baada ya mstari mmoja.Unadhihirisha utaahira wako tu.
Ila John 🤣 🤣 🤣 🤣Kwa sababu wewe hujui Sayansi ya namba
40 ndiyo namba ya Ukamilifu
Wana wa Israel walisafiri Jangwani miaka 40
Hitma Yako wewe ukidedi ni 40
Za mwizi ni 40
Sasa wewe na elimu Yako ya Memkwa ni kweli ungetaja mara 10000 ila Mwigulu ni Daktari wa Falsafa anaelewa Sayansi ya namba
Ulale unono 😂😂😂😂
Kwa vile huna akiliSawa nashukuru.najuwa hata wewe upo huru humu jukwaani ukitukana hadi matusi kama mlevi kwa kuwa tu upo huru. Unakumbuka JF imewahi kupata misukosuko huko siku za nyuma? Au umesahau kwa kuwa akili yako ni sahaulifu? Sasa kwanini Mama yetu mpendwa asitajwe? Mimi ningemtaja jina lake kila baada ya mstari mmoja.
Mara 40 tu kwa masaa 2 na dk 7? Dr Mwigulu hakutenda haki. Kwa kawaida ukizungumza dk 10, jina Samia hutajwa mara 5. Hivyo kwa dk 127 alitakiwa alitaje jina la Samia angalau mara 60. Nafikiri atarekebisha katika bajeti ijayo.Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ametumia dakika 127 sawa na saa 2 na dakika saba kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/25 huku jina la Rais Samia Suluhu Hassan akilitamka mara 40
Uongo mwingi. Uchawa mwingi, hakuna uhalisia hii nchi imeharibika hakuna anayesikiliza upuuziWaziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ametumia dakika 127 sawa na saa 2 na dakika saba kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/25 huku jina la Rais Samia Suluhu Hassan akilitamka mara 40.
Dk Mwigulu ameanza kusoma bajeti hiyo leo Alhamisi, Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma kuanzia saa 10:04 hadi 12:11 jioni.
Mbali na Dk Mwigulu kulitaja jina la Samia Suluhu Hassan wakati akiwasilisha bajeti hiyo yenye kurasa 173, pia ametaja jina la ‘Mama’ mara 15 wakati akinogesha hotuba yake mathalani amesema: “Ni dhahiri Mama hasemi tu, bali anatekeleza!”
Pia, Dk Mwigulu akielezea mafanikio makubwa ya awamu ya sita amesema: “Hii inadhihirisha kuwa Mama anawapenda sana Watanzania, hivyo basi na sisi Watanzania tusimame na Mama.”
Zaidi soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
We kimekuuma nini, yule ni Mwigulu we katamke la Mbowe ht mara 100Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ametumia dakika 127 sawa na saa 2 na dakika saba kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/25 huku jina la Rais Samia Suluhu Hassan akilitamka mara 40.
Dk Mwigulu ameanza kusoma bajeti hiyo leo Alhamisi, Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma kuanzia saa 10:04 hadi 12:11 jioni.
Mbali na Dk Mwigulu kulitaja jina la Samia Suluhu Hassan wakati akiwasilisha bajeti hiyo yenye kurasa 173, pia ametaja jina la ‘Mama’ mara 15 wakati akinogesha hotuba yake mathalani amesema: “Ni dhahiri Mama hasemi tu, bali anatekeleza!”
Pia, Dk Mwigulu akielezea mafanikio makubwa ya awamu ya sita amesema: “Hii inadhihirisha kuwa Mama anawapenda sana Watanzania, hivyo basi na sisi Watanzania tusimame na Mama.”
Zaidi soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
Inahusiana vp hpKuna haja ya Katiba Mpya
| Afrika furahi, mshukuru sana Kaisari wee; | Rejoice, Africa, be very grateful to Kaiser |
| Baraka na amani kakupa Kaisari yee! | Blessing and peace the Kaiser has given to you! |
| Jina lake la sifa na lenyi ufahari. | His name is glorious and full of fame |
| Kumbuka waasi wafanywavyo na Kaisari | Remember how rebels are treated by the Kaiser |
| Chuma pendo, umpende sana Kaisari sana; | Gather love that you may love dearly the Kaiser |
| Dola yake ni kubwa, miji yote kaiwasha taa! | The empire is big: in all towns he has lit lamps !4 |
| Eleza ya kale kama sasa yakufaa, | Tell of the past and if the present is useful to you |
| Fundisha watoto wako wapate kumtii. | Teach your children so that they obey him |
| Ginsi gani wafanya matata wala hutulii?5 | Why do you cause trouble instead of being calm? |
| Hurai, hurai umpigie shangwe, umwombee na uhai, | Shout ‘Hurrah, hurrah!’ for him and pray that he have a long life |
| Itokeapo hatari, aikingiyae ni yeye tai, | When danger threatens, it is he, the eagle, who protects6 |
| Jina lake la sifa na lenyi ufahari. | His name is glorious and full of fame |
| Kumbuka waasi wafanywavyo ni Kaisari, | Remember how rebels are treated by the Kaiser |
| Lazimu umwogope wala usimkosee, | You must fear him and not go against him |
| Mheshimu sana na kodi umletee, | Respect him and pay your taxes to him |
| Nani aondoaye shida zako kila pahali? | Who else removes all your troubles everywhere? |
| Nguvu hizi ni za watu walio wakali, | This is the strength of fierce people. |
| Ona ujue, ya kwamba hii serkali, | See and know very well that this is a government. |
| Palipo na vita aendaye ni yeye shujaa, | Where there is war it is he, the hero, who strides forth |
| Raiya wote salama katuondolea mabaa, | All citizens are safe. He has removed all danger |
| Salaam Bwana wetu wee, na baada ya salaam: | ‘Hail to you, our Lord!’ and after greetings: |
| Shujaa mkuu ndiwe, wote twakufahamu. | ‘You are the greatest hero. We all recognize you. |
| Tangu Bushiri na majimaji akusubutuye nani? | Since Bushiri and Maji Maji who dares rise against you? |
| Umewatibu kwa nguvu wala huwezekani | You dealt with them with unmatched force. |
| Vuruguvurugu waondoa kwa watu wakaidi,7 | You eradicate disorder caused by stubborn people.’ |
| Wakristo mwombeeni maisha, aishi azidi, | Christians, pray that he be blessed with a long life. |
| Yeee, Mungu azidi kumpa nguvu na uzima, | Oh, God, continue to grant him strength and health. |
| Ziondolewe shida zote za hapa Afrika daima | That he may continue so that all of Africa’s troubles are dispelled forever |
Napinga hoja. Mara 40 tu! Mbona hiyo ni kidogo?Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ametumia dakika 127 sawa na saa 2 na dakika saba kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/25 huku jina la Rais Samia Suluhu Hassan akilitamka mara 40.