JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
wakuu mukimaliza kusoma piteni na hapa munipigie kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wakati wa JPM jina la JPM lilikuwa halitamkwi kwenye bajeti Bali ilikuwa inasomeka “serikali”. Ukiweza pitia hotuba zote za bajeti kuanzia 2016 hadi 2020 uone kama kama kweli upuuzi huo ulikuwapo. JPM alikuwa anasifiwa mitaani tu lakini siyo kwenye document kubwa za serikali kama bajeti na policy Bali walikuwa wanasema “Serikali imejenga ..,,Mliokuwa na utimamu wa akili nyakati za JKN na Mzee Mwinyi, haya mambo yalikuwepo? Naona zama za JPM na SSH zimezalisha watu wa hovyo sana.
takataka uchawa tu. Tatizo na yeye aataka kusifiwa, Umungu Mke anautaka sana na hajifunzi kutoka kwa magufuli. Waliokuwa wanamsifia na kumpa U-Mungu, alipokufa , hao hao wakamsuta kwa ukatili.Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba ametumia dakika 127 sawa na saa 2 na dakika 7 kuwasilisha Bajeti ya Serikali huku Jina la Rais Samia Suluhu Hassan akilitamka mara 40 ( arobaini)
Source: Mwananchi
Mlale Unono 😄
Kabisa, maana si kwa uchawa huu wa waziriKuna haja ya Katiba Mpya
Nilipoanza kusikiliza bajeti nilidhania na mkutano wa kampeni.Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ametumia dakika 127 sawa na saa 2 na dakika saba kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/25 huku jina la Rais Samia Suluhu Hassan akilitamka mara 40.
Dk Mwigulu ameanza kusoma bajeti hiyo leo Alhamisi, Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma kuanzia saa 10:04 hadi 12:11 jioni.
Mbali na Dk Mwigulu kulitaja jina la Samia Suluhu Hassan wakati akiwasilisha bajeti hiyo yenye kurasa 173, pia ametaja jina la ‘Mama’ mara 15 wakati akinogesha hotuba yake mathalani amesema: “Ni dhahiri Mama hasemi tu, bali anatekeleza!”
Pia, Dk Mwigulu akielezea mafanikio makubwa ya awamu ya sita amesema: “Hii inadhihirisha kuwa Mama anawapenda sana Watanzania, hivyo basi na sisi Watanzania tusimame na Mama.”
Zaidi soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
Hakika.Mliokuwa na utimamu wa akili nyakati za JKN na Mzee Mwinyi, haya mambo yalikuwepo? Naona zama za JPM na SSH zimezalisha watu wa hovyo sana.
Yohana,Yohana,Yohana,Yohana unanipasua mkuu.Kwa sababu wewe hujui Sayansi ya namba
40 ndiyo namba ya Ukamilifu
Wana wa Israel walisafiri Jangwani miaka 40
Hitma Yako wewe ukidedi ni 40
Za mwizi ni 40
Sasa wewe na elimu Yako ya Memkwa ni kweli ungetaja mara 10000 ila Mwigulu ni Daktari wa Falsafa anaelewa Sayansi ya namba
Ulale unono 😂😂😂😂
Huyo ni taahira.John kasema Lucas ana elimu ya MEMKWA ndiyo maana anasumbua jamii.Unadhihirisha utaahira wako tu.
Yaani Mwigulu mwenye PhD na Lucas mwenye elimu ya MEMKWA aliyetangulia hajulikani. Uchawa ni maradhi mabaya kuliko ebola.Ukiona PhD holder na Waziri anakuwa Chawa ujue nchi imekwisha
Mama anapenda sana kutajwa tajwa.Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ametumia dakika 127 sawa na saa 2 na dakika saba kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/25 huku jina la Rais Samia Suluhu Hassan akilitamka mara 40.
Dk Mwigulu ameanza kusoma bajeti hiyo leo Alhamisi, Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma kuanzia saa 10:04 hadi 12:11 jioni.
Mbali na Dk Mwigulu kulitaja jina la Samia Suluhu Hassan wakati akiwasilisha bajeti hiyo yenye kurasa 173, pia ametaja jina la ‘Mama’ mara 15 wakati akinogesha hotuba yake mathalani amesema: “Ni dhahiri Mama hasemi tu, bali anatekeleza!”
Pia, Dk Mwigulu akielezea mafanikio makubwa ya awamu ya sita amesema: “Hii inadhihirisha kuwa Mama anawapenda sana Watanzania, hivyo basi na sisi Watanzania tusimame na Mama.”
Zaidi soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
Fak uAmelitaja mara chache sana.Maana ningekuwa mimi ningelitaja kila baada ya mstari mmoja. Hii ni kutokana na uchapakazi wa Mama yetu na kazi kubwa alizozifanya kwa Taifa letu zilizogusa maisha ya watanzania na kuinua matumaini kwa wengi.
Rais Samia ameleta nuru na Mwanga katika maisha ya watanzania. Kwa hakika ningelitaja Jina la Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa unyenyekevu mkubwa sana.
Kijamaa kumbe ni ki memkwa, ndiomaana kijingajingaKwa sababu wewe hujui Sayansi ya namba
40 ndiyo namba ya Ukamilifu
Wana wa Israel walisafiri Jangwani miaka 40
Hitma Yako wewe ukidedi ni 40
Za mwizi ni 40
Sasa wewe na elimu Yako ya Memkwa ni kweli ungetaja mara 10000 ila Mwigulu ni Daktari wa Falsafa anaelewa Sayansi ya namba
Ulale unono 😂😂😂😂
Chawa promax……. Kuna mtu aliwahi kusema ukiendekeza (njaa) uchawa unakuwa hutumii akili na ubunifu unakuwa 0Amelitaja mara chache sana.Maana ningekuwa mimi ningelitaja kila baada ya mstari mmoja. Hii ni kutokana na uchapakazi wa Mama yetu na kazi kubwa alizozifanya kwa Taifa letu zilizogusa maisha ya watanzania na kuinua matumaini kwa wengi.
Rais Samia ameleta nuru na Mwanga katika maisha ya watanzania. Kwa hakika ningelitaja Jina la Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa unyenyekevu mkubwa sana.
BILA KUMTAJA RAIS KWENYE BAJET HIYO ITAKUWA SIYO BAJETI NI BATILIWaziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ametumia dakika 127 sawa na saa 2 na dakika saba kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/25 huku jina la Rais Samia Suluhu Hassan akilitamka mara 40.