Pre GE2025 Jina la Dkt. Samia latamkwa mara 40 kwenye Hotuba ya Bajeti ya Serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mliokuwa na utimamu wa akili nyakati za JKN na Mzee Mwinyi, haya mambo yalikuwepo? Naona zama za JPM na SSH zimezalisha watu wa hovyo sana.
Hata wakati wa JPM jina la JPM lilikuwa halitamkwi kwenye bajeti Bali ilikuwa inasomeka “serikali”. Ukiweza pitia hotuba zote za bajeti kuanzia 2016 hadi 2020 uone kama kama kweli upuuzi huo ulikuwapo. JPM alikuwa anasifiwa mitaani tu lakini siyo kwenye document kubwa za serikali kama bajeti na policy Bali walikuwa wanasema “Serikali imejenga ..,,
 
Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba ametumia dakika 127 sawa na saa 2 na dakika 7 kuwasilisha Bajeti ya Serikali huku Jina la Rais Samia Suluhu Hassan akilitamka mara 40 ( arobaini)

Source: Mwananchi

Mlale Unono 😄
takataka uchawa tu. Tatizo na yeye aataka kusifiwa, Umungu Mke anautaka sana na hajifunzi kutoka kwa magufuli. Waliokuwa wanamsifia na kumpa U-Mungu, alipokufa , hao hao wakamsuta kwa ukatili.

Huyu Samia hajifunzi lolote katu!
 
Nilipoanza kusikiliza bajeti nilidhania na mkutano wa kampeni.
 
Sina imani na Dr Mwigulu , anatukamua kodi huku, hali mbaya mtaani.
Kodi ya umeme, TRA, Mafuta bei Juu...
 
Una MOYO mgumu sana,umesikiliza hotuba ya ccm na mwigulu??au huna kazi???
 
Yohana,Yohana,Yohana,Yohana unanipasua mkuu.
 
Mama anapenda sana kutajwa tajwa.
 
Fak u
 
Kijamaa kumbe ni ki memkwa, ndiomaana kijingajinga
 
Chawa promax……. Kuna mtu aliwahi kusema ukiendekeza (njaa) uchawa unakuwa hutumii akili na ubunifu unakuwa 0
 
Kuna kitu psychological hapa! Watanzania wapenda kuwa watoto siku zote, na ndiyo maana wa 'baba wa taifa' na mama yao! Naapa hakuna taifa jingine duniani ambalo halijaondokewa na hao wawili!
 
BILA KUMTAJA RAIS KWENYE BAJET HIYO ITAKUWA SIYO BAJETI NI BATILI
 
Hivyo kila baada ya dakika 2 na sekunde Chache alitamka jina la Rais Samia au jina la mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…