kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Hii ni kweli kabisa wala hakuna haja ya kubishana na mafisadi fulani hivi ambao wanajifanya watetezi wa watu kumbe ndiyo wezi wakubwa wa taifa hili.
Anyway lengo langu siyo hilo. Hayati Magufuli alikuwa kiongozi bora kabisa pamoja na baadhi ya mafisadi fulani kumchukia siyo case mtu hawezi kupendwa na wote.
Lakini kuelekea mwaka 2025 chama chochote cha upinzani kitacho tumia legacy ya Hayati Magufuli kwenye 100% ya kushinda uchaguzi wa nchi hii wana 70% za kushinda uchaguzi huo kwa kura au kwa mapinduzi, JPM ndiyo most loved President in Tanzania and all Africa.
Kuchukiwa na watu fulani sio case hata hao ambao mnawasifia huku kwetu sijui Gadafi na wengine wengi kwenye nchi zao utakuta majina yao siyo makubwa kivile lakini nje ya nchi zao ni balaa.
Na kiongozi yeyote atakaye ongoza Tanzania kuanzia mwaka 2025 naomba haongoze Tanzania kwa mkono wa chuma bila hivyo mimi watu watanenepa bure.
Maana katika nchi hii kuna watu ambao bado wanahitaji kupigwa kama watoto wadogo ili akili zao zikae sawa kichwani.
Mkinuna mpasuke hata Yesu mwana wa Mungu alikufa, kwa hiyo kifo ni halali ya kila mwanadamu.