Jina la Hayati Magufuli bado lina nguvu sana


Taasisi Imara itajiongoza bila viongozi waadilifu?

Taasisi Imara kwa akili zipi?

Hizi za kipumbavu kama zako?

Kwa hiyo wewe ni Great thinker?

Ebu tuthibitishie u-great thinker wako humu?

Vijana wa hivyo kama wewe ndio janga la taifa!

Hata hiyo Avatar yako huijui inamaanisha mji gani Mozambique [emoji1174] na ndio maana umeiandika "Capo" badala ya "Cabo Delgado"

Acha U-Shwine!
 
Kuna watu wakisikia hilo jina wanaweweseka
 
Kwa mtazamo wako mleta mada siwezi kukupinga ila uongozi wa mkono wa chuma sio kitu kizuri.

Ukiona watu wanasifia uongozi wa kibabe wa magufuli jua fika kipindi cha magu walikua masikini hawakua na biashara wala jambo lolote ambalo magu akipiga panga wao wanaathirika hivyo lazima warndelee kumkumbuka na sio jambo baya kila mtu asimamie uhuru wake.
 

Yaani wapinzani watumie jina la Magufuli kupata kura, wakati yeye mwenyewe alinajisi uchaguzi ili kutangazwa mshindi!
 
Usitutajie huyo ibilisi.
 
Na wale uliowapenda na kuwanengulia sebene nao walikufa na historia zao hata ukiwaimbia mapambio, zilishafungwa kwa mungu.
Hakuna atakaeishi milele.

Nakumbuka mtu mmoja lisema heli mwendazake hayupona sasa tupo safi, ni baada ya kwazuia trip za hovyo na matumizi mabaya ya pesa za serikari.

Ila ndege iliyonguka majini bukoba nayo haikumuacha sarama, nadhani kwa sasa wanakutana huko mbinguni.
 
Firauni alifariki miaka mingi,mpaka Leo tunamkumbuka
 
Rais jpm alikuwa bogus na rais wa hovyo kuwahi kutokea duniani hata wazungu walikuwa wanashangaa hili lijitu waliliruhusu vipi likawa rais? Unaendesha nchi kama familia yako hamna kufata Sheria yoyote bali matamko ndo Sheria. What a fuckin president we had had!!
 
Watakaonuna ni wale mafisadi yaliyokubuhu na walala hoi waliokuwa wanafaidi kutoka kwa mafisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…