Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
sawa mkuu.Asante kwa kutukumbushia mkuu.
doh,walisema wanataka waitwe kina nani haswa?wengine walikataa kuitwa mkuu
kabisa mkuu,Tahahaha Unh-huh yeah mkuu lirud banaa
pamoja mkuu,Asante sana mkuu
Kweli mkuuTahahaha Unh-huh yeah mkuu lirud banaa
mbona linafaa mkuu,hata ivo sasa humu JF utafahamu vp mtu ni KE?Mi naona halifai kwa jinsia ya kike
Linafaa sanaMi naona halifai kwa jinsia ya kike
Saa hii ni enzi ya mubasharaWakuu nowadays lile jina letu pendwa la kuitana mkuu,limepotea liko wapi? maana saiv utakuta watu wanaitana shemeji,dada,kaka,jamaa.....na majina mengine.kwamba tumeshafahamiana sana humu Jukwaani au watu wamezoeana sana hadi tumefikieni hatua ya kutambuana,kama ndivyo bhasi vizuri tumetambuana umri,jinsi na status zetu.ila jina mkuu ni zuri sna bhana turudisheni hadhi yake,au mnasemaje wakuu??
hahaha....lakini bado kuna watu wengine hatufahamiani mubashara mkuu?Saa hii ni enzi ya mubashara
kweli kabisa unavosema mkuu,though wengi wanamfahamu tuu faizafoxyWatu siku hizi wamefahamiana itakuwa ndo mana wanaitana hivyo
Haiwezekan umjue dada au kaka uendelee kumuita mkuu
Huku naona wengine wamepata wake na waume ndo mana jina linaendelea kufaaa