mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Lipo mkuu, umesikia mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa mkuu.Mkuu, naunga mkono hoja yako
hahah,saw mkuu.Lipo mkuu, umesikia mkuu
hahaha.....saw mkuu.mkuu wa nchi
Majina yaodoh,walisema wanataka waitwe kina nani haswa?
Jadidi dhatiti n the likehahaha....lakini bado kuna watu wengine hatufahamiani mubashara mkuu?
kama hivi,yani we nikuite miss chagga ??Majina yao
Hahahaha, uko sahihi kabisa ila kwa uelewa wangu mdogo nahisi mwenye jina kapatikana na hana masihara hata kidogo, pengine ndio jambo linalotuhofisha kuendelea kulitumia.Wakuu nowadays lile jina letu pendwa la kuitana mkuu,limepotea liko wapi? maana saiv utakuta watu wanaitana shemeji,dada,kaka,jamaa.....na majina mengine.kwamba tumeshafahamiana sana humu Jukwaani au watu wamezoeana sana hadi tumefikieni hatua ya kutambuana,kama ndivyo bhasi vizuri tumetambuana umri,jinsi na status zetu.ila jina mkuu ni zuri sna bhana turudisheni hadhi yake,au mnasemaje wakuu??
hahahah....ivo eh,mkuu? atakuwa mwenyew au ye ndo anapaswa kuitwa ivo peke ake??Hahahaha, uko sahihi kabisa ila kwa uelewa wangu mdogo nahisi mwenye jina kapatikana na hana masihara hata kidogo, pengine ndio jambo linalotuhofisha kuendelea kulitumia.
Naomba kuwasilisha.
mmmmh,hata mimi kwa kweli sifahamu.ila mkuu ninayoizungumzia ni hiyo ya kwanza kwamba humu JF kila mtu ni mkuu au kiongozi wa mwenzie na ana mamlaka ya kusema kitu au jambo lolote...ivoMkuu ina maana mbili, itumikayo humu ni ipi kati ya hizi mbili:
a) Kiongozi wa ngazi ya juu katika kundi lake kama vile shule, mawaziri, viranja, wanajf, n.k.
b) Kikongwe/bibi kizee au "ngabu" mzee ?
hahhaaa...mkuu,bhana..wakuu kweli wameanza kupotea,ila mi bado nitaendlea kuwa mkuu...Ww jina la mkuu upo wap blank page anakuita
Kweli mkuu!Wakuu nowadays lile jina letu pendwa la kuitana mkuu,limepotea liko wapi? maana saiv utakuta watu wanaitana shemeji,dada,kaka,jamaa.....na majina mengine.kwamba tumeshafahamiana sana humu Jukwaani au watu wamezoeana sana hadi tumefikieni hatua ya kutambuana,kama ndivyo bhasi vizuri tumetambuana umri,jinsi na status zetu.ila jina mkuu ni zuri sna bhana turudisheni hadhi yake,au mnasemaje wakuu??
Nani walikataa mkuu?wengine walikataa kuitwa mkuu
umeona eh,mkuuKweli mkuu!