Jina la Mkuu limepotea JF

Hahahaha, uko sahihi kabisa ila kwa uelewa wangu mdogo nahisi mwenye jina kapatikana na hana masihara hata kidogo, pengine ndio jambo linalotuhofisha kuendelea kulitumia.
Naomba kuwasilisha.
 
Hahahaha, uko sahihi kabisa ila kwa uelewa wangu mdogo nahisi mwenye jina kapatikana na hana masihara hata kidogo, pengine ndio jambo linalotuhofisha kuendelea kulitumia.
Naomba kuwasilisha.
hahahah....ivo eh,mkuu? atakuwa mwenyew au ye ndo anapaswa kuitwa ivo peke ake??
 
Mkuu ina maana mbili, itumikayo humu ni ipi kati ya hizi mbili:
a) Kiongozi wa ngazi ya juu katika kundi lake kama vile shule, mawaziri, viranja, wanajf, n.k.
b) Kikongwe/bibi kizee au "ngabu" mzee ?
 
Mkuu ina maana mbili, itumikayo humu ni ipi kati ya hizi mbili:
a) Kiongozi wa ngazi ya juu katika kundi lake kama vile shule, mawaziri, viranja, wanajf, n.k.
b) Kikongwe/bibi kizee au "ngabu" mzee ?
mmmmh,hata mimi kwa kweli sifahamu.ila mkuu ninayoizungumzia ni hiyo ya kwanza kwamba humu JF kila mtu ni mkuu au kiongozi wa mwenzie na ana mamlaka ya kusema kitu au jambo lolote...ivo
 
Kweli mkuu!
 
mkuu yani humu kuna member alitokwa na povu kisa hilo neno uzi mzima alikuwa analalama sitaki hilo jina mi unanifahamu au unaijua kazi yanguu, hasa sijui ningemuita nan, jina lake halieleweki, wala jinsia yake sijui

labda tungeitana mkulu kupunguza ukali
 
Mkuu utatutia matatani jina hilo now linamwenyewe anawivu nalo Sana kiasi ambacho hakina kipimo napendekeza tuwe tunajiita wajumbe wa JF au sio wajumbe wenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…